Wakati kesi ya ubakaji inayo mkabili mume wa mwanamuziki wa nyimbo za Injili hapa nchini, Emmanue Mbasha, lawama sasa zaelekezwa kwa Flora Mbasha ambae ndiye mke mtu.
Lawama hizo zimetolewa na baadhi ya watu waliyo karibu sana na familia hiyo, kuwa mwanamama Flora Mbasha, ambae kwasasa yuko katika mafunzo na mbioni atakuwa mchungaji wa kanisa fulani hapa mjini, humuacha sana mume wake, kutokana na wingi wa safari za kimafunzo alizo nazo Flora jambo...