Mwanamuziki maarufu, aliyezaliwa Denmark na kukulia hapa Tz, Mzungu kichaa, leo ameachia EP (Extended Play) yake mpya, ikiwa ni moja kati ya harakati zake anazozifanya katika kulisongesha vyema gurudumu la muziki wa Kitanzania, hususani Bongofleva, akiwa sound engineer pia.
EP hiyo atai-lauch rasmi tarehe 6/6/2014 pale Ostrebay katika ukumbi wa Triniti.
Kwa wale wenzangu na mie EP- Extended Play ni rekodi ya muziki inayo jumuisha nyimbo nyingi kuanzia tano, japo si albamu nzima.
Mwandishi wa habari na blogger wa blogu hii. Kwa mawasiliano zaidi: Facebook @Gadiel Frank Mpungu, Twitter @GadielMF, Email ni gaddiefm@gmail.com na nambari ya simu ni +255 656 392 523.
0 comments:
Post a Comment