Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 23, 2013

Gadiel kuja na kitu maalumu kwaajili ya wasanii chipukizi.

 Gadiel (aliyevaa miwani) akiwa na baadhi ya vijana katika moja ya matukio yawahusuyo vijana.

 Gadiel katika pozi Girrafe Hotel

Gadile, Sopia Kessyna Regina Mwalekwa katika pozi wakiwa ofisi Clouds Tv.

Katika harakati za kuzidi kumsaidia kijana wa kitanzania mwenye kipaji chochote kile kihusichasho sanaa, Mwandishi wa habari, msanii na Blogger wa blog hii amesema kuwa yupo mbioni kuanzisha kitu kitakachohusika moja kwa moja na vijaa wa aina hiyo.

Ni kitu gani hicho?stay tune! 

0 comments:

Post a Comment