Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, December 25, 2013

Rose, Sekeleti, Lissu na Solly Mahlangu waipamba Tz kwa sifa na kuabudu.

 Haya yamejiri masaa machache sana kutokea sasa, ambapo ilikuwa ni katika shamrashamra za kuisherehekea siku ya kuzaliwa kwake Kristo Yesu, ambapo Msama Promotion waliandaa tamasha lililowaburudisha wengi waliyo kuwamo ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, tangu saa tisa alasiri, mpaka pale ilipotimu saa tatu kasoro. Na haya ni baadhi tu ya matukio.




 Rose Muhando



 Wacheza shoo wa Rose Muhando wakifanya vitu vyao.

 Baadhi ya wanamuziki, waimbaji na watangazaji wakiwa nyuma ya jukwaa.

Efraim Sekeleti wa Zambia 

 Bendi ya Amoni na Upendo Kilahiro 


 John Lissu

Wanamuziki wa Solly wakiandaa Jukwaa. 

Hatimaye Solly aingia jukwaani 

 weee! weee! wee! 


 Tukafundishwa na stepuu.

One love, one heart! 

Mapaparazi nao walikuwepo kazini  


Kaka huyu alinifurahisha sana kwa kumtukuza Mungu kwa nguvu zote tangu mwanzo hadi mwisho. 



Umati ulikuwa wakutosha 

0 comments:

Post a Comment