Watu wengi wanadhani sanaa si kitu kinahoweza kukufanya mtu ukaishi haswa hapa mjini na pia wengine hudhani ili uweze kufaidi sanaa ni mpaka ujulikane jambo ambalo si sahihi.unaweza ukafanya kazi za sanaa na usijulikane lakini bado ukayafaidi matunda ya kazi hiyo.Pichani ni Richard Mziray(script writer,musician and actor).
0 comments:
Post a Comment