X - Former wa Gorrila Unit Mkali The
Game amekutana na kisanga baada ya kushtakiwa kulipa dola 250,000 baada
ya kutotokea kwenye show huko Beiruti Lebanon. AllHipHop.com imeripoti
kwamba Kampuni The Crystal Group ilifungua case hiyo dhidi ya rapper
kutoka Compton Mkali The Game pale Manhattan Federal Court.
Mashtaka hayo yanasema The
Crystal Group walimlipa dola 30,000 kwa ajili ya show ya Julai 2011.
Kampuni hiyo ya The Crystal Group imelalamika kwamba wamepata hasara
kutokana na mkataba kuvunjwa dakika za mwisho, imesbabisha wapoteze
nyingi mfano pesa walizotumia kwenye promotion waliofanya, hoteli na
gharama za usafiri, uuzaji wa tickets na kurudishia watu. The Game na
Kampuni ya BWS wote wametajwa kwenye case hiyo.
0 comments:
Post a Comment