Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Saturday, August 18, 2012

Hebu pendezesha macho kwa picha ya harusi ya mmoja wa waimbaji wa kwetu pazuri.

 Haya hayawi hayawi yamekuwa.Yule mwimbaji wa kundi la Ambassadors of Christ Rwanda, Thamar Ngamije amefunga ndoa yake jumapili iliyopita na bwana Ronnie, Ndoa ambayo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo waimbaji wenzake wa Ambassadors of Christ.

             .

0 comments:

Post a Comment