Inawezekana ukawa unajiuliza logo hii ni ya nini na kwanini ipo hapa, lakini kwa uharaka tu bila hata kupoteza muda wako nikuambie hii ni logo ya kipindi kinachokimbiza sana hapa town kinachoendesha na mmiliki wa blog hii. Show inaitwa Mlimani beats na ni ya saa moja katika kila ijumaa. Najua ungependa pia kujua inahusu nini haswa na jibu ni kwamba ni show ya burudani mwanzo mwisho ambapo ndani yake kuna segments za kufa mtu zitakazo kufanya saa moja ulione kama dogo vileee! Kumbuka ni kila ijumaa saa kumi hadi kumi na moja flani hivi ndiyo mzigo huu unakuwa hewani palepale kwenye stesheni ya kijanja iite Mlimani televisheni....Ebwaaaanaa eeeeh!don't miss it
0 comments:
Post a Comment