Daudi lucas alieleza ya kuwa Baghdad
ametumiwa ratiba ndefu saana ya kurecord
nyimbo zake ukiangalia anatakiwa atunge ngoma kuanzia 5 mpaka 12 kwa
kipindi
hichi kifupi video zaidi ya tatu kabla mwaka huu haujaisha, na kama
unavyojua
aliwahi kuuguwa ugonjwa wa kisukari mazoezi anayotakiwa ni mazito saana
na
jaaana tuuu tulikuwa dragon kwa ajili ya kumtafutia pumzi kwa njia ya
kuogelea
na kumbe cha kushangaza alikuwa hajui hata kuogelea sooo tunajitahidi
kukimbizana na muda na kuziba baadhi ya mapungufu ya Baghdad na hata
choka
nadhani unakumbuka siku niliomleta kuja kushot pamoja we can alikuwa
hawezi
kutembea vizuri kwa sasa amebakiza asilkimia chache saana ili kurudi
mwendo
wake wa zamani sooo tukagundua tunahitajika kumuweka mbali na club,
show,
colabo, hata intaview ili asifikirie kitu kingine zaidi ya kujiandaaa
kwa kuwa
intanational artist” baada ya kuyasema hayo niuliamua kumuuliza vipi
kuhusu
vipindi vyake vya tv? Daudi lucas “ratiba tuliyompa huwa anapata masaa 8
ya
kupumzika 4 ya kufanya kazi na sikku za week end huwa tumempa ruhusa ya
kuchukua usafiri na kwenda kutembea na girlfriend wake nay eye alituomba
ya
kuwa ana vipindi vyake anavyohitaji kuvishoot well tulimuelewa kwa kuwa
tunapenda afanikiwae na we happy all the tym tukamwambia apange sikui
atakayokuwa anashoot kisha atuambie nini anahitaji we will do it for him
sooo
ni yeye kutumia muda wake wa ziada badala ya kuutumia saana kuwa na
mwenzi wake
anaweza kujiiba kwa muda hata wa siku moja kati ya 2 tulizompa kuwa free
tangu
asubuhi mapka jioni na kizuri kutoka kwa mpenzi wake sio mbish anamulewa
saaana
Baghdad na anapenda kumsikiliza so hilo
halitakuwa na matatizo nadhani na
haliingiliani kabisa na utaratibnu wake wa ki mziki” niliomba kuwa wa
mwisho
kumuhioji Baghdad na nilipewa ruhusa ya kumuhoji na naamini mimi ndie
nitakuwa
wa mwisho kumuhoji kwa sasa nilimuuliza Baghdad anaonaje kuwa under
mangment.
baghdad“ unajua ilikuwa ni ngumu saana mi kuwa na management ingawa
nyingi tuu
ziliwahi kunihitaji ila nilichokuwa nakikataa huku hakipo, so najisikia
poa
sana kuwa chini ya management. 2.
Umepokeaje kali ya kusimamishwa kufanya
baadhi ya vitu “ mwanzo niliona wananizogoa ila uwezi amini kwa sasa
najiona
mpya kwa kuwa sina stress yoyote zaidi ya kutunga tuuuu! 3. Una lolote
kwa kuwa
hatutaongea tena kwa muda usiojulikana “ daaa watu wangu wasinie,lewe
vibaya
watangazaji watakaoniita kwenye intaview nikikataa wasinbielewe vibaya,
wadau
wa mziki nia ya kufanya hivi ni kuandaa kitu kizurio so nawaombeni kwa
lolote
msiache kuniambia na mimi nitalifikisha kwenye mangment yangu page yangu
ya
mwanzo fb imejaa so wanicheki kwenye pag mpya Baghdad pg wasiweke kweka
waniambie lolote ila kwa intaview, collabo wapige kwenye 0716 89 00 85
wataongea na management. Stop…………….
Kufanya intaviews, colabo, shows, movie, hata kunaniliu na naniliu wake
nayo
stoooop Baghdad ekheee nakutakia ,mafunzo mema ya kuogelea ukishajua
niambie
tushindane!
0 comments:
Post a Comment