Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, November 6, 2012

Riyama Ally ndiye kisura umuonaye hapa juu na leo yumo ndani mwa Blog hii ya burudani kwa ajili ya mazuri tofauti na waleeee kina naniliu.Siyo siri nimesikia wengi sana wakimsifia mwanadada huyu kwa tabia njema na ya kuigwa licha ya urembo aliyonao tofauti na mastaa feki wa tabia tuliyo wazoea na ndiyo maana nikaona si vibaya basi tukamtaja huku kwenye pande zetu wana burudani. " LOVE YOU ALL" ndicho alicho kiandika mkali huyu katika ukurasa wqake wa Facebook akiashiria ni mpenda amani kwa wote! Haya shime wasanii wote mnaodhani mpo juu katika tasnia hii, igeni basi mfano wa mwenzenu ili muweze kuitunza heshima ya taifa na tasnia kwa ujumla.

1 comments:

Ni kisura wa ukweli kabisaaaa,sina ubishi

Post a Comment