Ni rapper na bondia Zola D hivi karibuni ameibuka na kusema anajipanga ili aanze kuonyesha kipindi cha mazoezi ya viungo katika moja ya Televisheni za hapa Bongo. Je,atalifanikisha hilo? na kama ndiyo tutakiona wapi kipindi hicho ( Stesheni gani )?Kaa tayari utajuzwa humu humu.
Decoration & Catering Services

Boutique

0 comments:
Post a Comment