Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, September 25, 2013

MAONI: Manaiki Sanga,ashitakiwe na kufungwa kutokana na kupoteza maadili ya Mtanzania

Manaiki Sanga
 
Huyu ni mmoja kati ya wasanii wa Kitanzania, niliyetokea kumchukia sana kutokana na tabia yake chafu ya kupiga picha za ngono na kuziweka mitandaoni.

Huweda yeye anaamini kuwa ndiyo mbinu pekee ya kuzidi kumpa umaarufu jambo ambalo siliamini kwa asilimia MIA!

Lakini jambo la kusikitisha sana ni kwamba serikali imekaa kimya kwa mtu huyu, aidha labda hawajazipata taarifa zake au hawajaona haja ya kumfuatilia, jambo ambalo si jema kwani anazidi kuliangamiza Taifa letu.

Ushauri wangu ni akamatwe na kushtakiwa kwa kosa la kudhalilisha wanawake na kuharibu utamaduni wetu, huku zile blogs zote zinazoonyesha kufurahishwa na ufuska wake, pamoja na website, zifungiwe na wahusika kukamatwa.
 

0 comments:

Post a Comment