Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, October 9, 2013

Diamond alia na Producer aliyeivujisha ngoma yake mpya ya "Nikifika Kesho"

Diamond Platinumz a.k.a babaa Penny au babaa Wololoo, leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa Kesho"  ambapo amemlaumu producer na inaonekana sababu ni baada ya yeye kuacha kurecord katika studio hiyo.
Bado haijajulikana producer huyo ni nani hasa...endelea kufatilia hapa utajua

0 comments:

Post a Comment