Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, December 3, 2013

Abel Onesmo muandishi mpiganaji, anayekuja kwa kasi.

Abel Onesmo

Abel Onesmo akipokea tuzo ya kipindi bora cha sayansi na teknolojia clouds Fm.

Kwa wale watazamanaji wa habari za Clouds tv na wasikilizaji wa Clouds fm, lazima watakuwa wanaijua sura hii, ambayo kwasasa imekuwa enyeji sana katika vyombo hivi vya habari.

Yeye ni kijana mdogo lakini kwasasa amefanikiwa kufanya vyema sana katika tasnia hii ya habari na hata kushinda tuzo mbalimbali.

Je wataka kumjua zaidi, basi mtazame katika runinga yako ndani ya stesheni ya clouds.

0 comments:

Post a Comment