Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 30, 2013

BREAKING NEWS: Mzee wa Upako azua kizazaa kwenye mitandao ya kijamii.


Ni baada ya ya kuhojiwa kwenye Mkasi leo, na haya ni baadhi ya maneno aliyosema"Siamini katika umasikini.Mchungaji ni kama Raisi wa nchi" lakini pia azungumzia maisha yake binafsi na jinsi alivyoanza kuhubiri.

Na haya ni baadhi ya maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii;


  • Benedict Lugiye Jamaa lina akili za maisha aisee, kumshika binadamu kiimani ni bonge la silaha kabisa, hongera mzee wa upako
  • Artick Kassim Kipindi chenyewe kinaaitwa mikasi mchungaji msanii... Huyu mzee mwizi ..... Huyu ni mganga tu sangoma sema yupo kiss zaidi ... He is after money by whatever means even killing ! Kwa uelewa wangu si rahisi kujua huyu karogwa bila ramli!!!!!
    • Ritha Mgweno u av 2 talk wit evidence co mna hukumu 2 m2 without evidence ww unamfaham yule??u av 2 think b4 u spk
      Like · 

      • Lyinga Rachel Nmewah fuatilia sana mahubir yake, huwa naona ka muvi coz sjawah kumuona kashka biblia, kitambaa chake ndo biblia? mikono anayotia mfukon wakat anamwombea mtu ndo nn? Aaaa,SIJADHARAU ila mh.
        Like · Reply · 3 · about an hour ago
        • Ritha Mgweno umefwatlia mahubir kwa kuwatch tv but hujawah kwenda kanisa lake ayt??ok mie nasal kwake biblia anisoma sn na anijua vzr sn bible tena sn na kile kitambaa ni cha majasho 2 jmn hua anjiftia jasho uson na naktaa kwmb anshka mikono akiombea m2 nop ths z nt tru jmn km anawka ni poz 2 za kawaida bt cvo unavofkiria jmn wachen porojo kwa m2 msomjua vzr
        • Kelvin Samson kumbuka bible inasema utatoa hesabu ya kila neno la hapa duniani.Kuweka mikono sasa inarelate vp na uchungaji.Hoja yako haina maxiko,na kuhusu suala la biblia sianaandaa neno kwahyo anakariri 2.watanzania wenzangu 2melala kiakili acheni Kuamini maneno ya mtaani kwani huo ndio unabii wa uongo.mungu awe nawe sema amin.
          Like · 1 · 44 minutes ago
        • Gadiel Frank Mpungu
      • Albert Amani binadam funguken, biblia zimeandika. hakuna nabii yeyote aliyekua anamilik utajir mkubwa kama hawa wa sikuhiz. wongo tu hawa wakudanganya watu ili wapate hela...!!
        • Ritha Mgweno u have 2 tlk wit evidence ayt?u just tl us anadanganya nn mpk anapta pesa coz it seemz ww unamfaham vzr sn thats y unamhukum m2 wa Mungu ok giv us evidence fungukaa
          Like · 1 · 15 minutes ago
        • Gadiel Frank Mpungu
      • Fadhili Secha Unajua kuna fikra mgando ndani ya baadh ya watu sana kwa hawa watumishi wa kiroho, kwamba hawapaswi kuwa katka maisha standard. Wapi imeandikwa? Na je, kama wanatunzwa na waumini wao mlitaka wakafiche ela uswiz, kisha wajifanye Malibu ndo mtambue hao ndo manabii wa kweli? Hiv dhana ya nabii wa uongo mnaijua kwa undani? Manake mkikurupuka kuwashutumu wengine kwa staili hii bila kufikiri mtafikia kuwakana hata na wazazi waliwazaa na kudai ni wauongo. Dhana ya imani ndugu zangu ni pana. Msibwatuke!
        Like · Reply · 15 minutes ago via mobile
      • Rome Ngupula thibitishen kama ni mchawi sio mnaongea stor mnazozisikia mitaan,dunian ya sa hiv unavyoongea kitu unatakiwa uwe na data za kutosha sio mnakurupuka tu.@all
        Like · Reply · 8 · 2 hours ago
      • Amosi Mwasakipala kuna mapaster ambao ni vibaka lakini huyo amekua 2 much dah! cjui ulimwengu unatupeleka wp? jamani wa2 wangu please kupitia huyu ndo tujue kua iz ni cku za mwisho coz mwana wa adam alisema cku za mwisho kutatokea manabii wa uongo wakisema mm ndio christ na watadanganya wengi nawaomba ndugu zangu 2cmame ktk imani 2liyo nayo 2cyumbeyumbe bali 2kili kwamba bwana ndiyo mokozi wetu wote 2seme Ameni!!! "NO"."ONE"."LIKE"."GOD"."GUYS"
        Like · Reply · 1 · 2 hours ago

0 comments:

Post a Comment