Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 30, 2013

BURUDANI: Mzee wa Upako kufunga mwaka na Salama Jabiri.


Leo saa tatu ya usiku, Mzee wa Upako atakuwa kwenye kipindi cha Mkasi kinachoongozwa na mtangazaji mcheshi na mbunifu Salama Jabiri, ambapo wafuatiliaji wa kipindi hicho wamesema kuwa Mch. Antony Lusekelo atakuwa ndiye kiongozi wa kwanza wa dini kuhojiwa ndani ya kipindi hicho.

Mzee wa Upako ni mchungaji maarufu sana hapa nchini, Afrika na hata duniani kote kutokana na kutenda miujiza mingi kwa maombi pamoja na kuidadavua vyema Biblia kwa waumini na wafuasi wa kanisa lake yaani GRC Ubungo Kibangu.

Yatakuwaje mahojiano hayo, Stay tune!

0 comments:

Post a Comment