Dkt William Mgimwa akiongea Bungeni.
Dkt. Mgimwa akionyesha bajeti ya nchi baada ya kupitishwa na bunge.
Rais Dkt. Kikwete katika hali ya huzuni.
Serikali ya Tanzania, leo imepokea kwa majonzi taarifa ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa fedha nchini Dkt. William Mgimwa kilichotokea Pritoria nchini Afrika kusini, saa tano ya asubuhi.
Kifo hicho kimewashitua wengi akiwemo Rais Jakaya Kikwete pamoja na familia ya Waziri huyo iliyokuwa ikimtegemea na kumpenda sana.
Waziri Mgimwa ameacha watoto pamoja na mjane. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu! Amen.
0 comments:
Post a Comment