Diamond miaka michache nyuma.
Baada ya kuachia kibao chake cha mawazo
Katika cheko la pesa
Inawezekana kawa na ndoto za kutosha kama n ilivyo mimi, lakini wakati mwingine hukatishwa tamaa na ndugu, rafiki, wazazi au hata mazingira. Lakini hebu tujifunze basi kupitia kijana huyu ambae kwasasa ndiyo habari ya mjini.
Cheki picha zake za mwanzo alipotoka na alipo sasa, naamini utapata nguvu na kutambua kuwa chamsingi ni kuamini kile unachokifanya na kuongeza tu jitihada za kutosha!
You can be anyone! Trust your self
0 comments:
Post a Comment