Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Sunday, March 2, 2014

Alaa! kumbe Vellice anavutiwa sana na AY.


Vellice 

AY

Ni katika mambo haya haya ya kitasnia, ambapo msanii Vellice anae kuja kwa kasi katika muziki huu wa Bongo Fleva na kibao chake cha kila siku, leo amekiri wazi kabisa, kuwa moyo na nafsi yake vyote vinamkubali sana AY.

Aidha tulipotaka kujua ni kwanini ametokea kuvutiwa sana na bwana kaka huyu, ambae pia ni producer wa show inayotangazwa na Salama Jabiri (Mkasi) EATV, alisema kuwa; His humble, inspiring, anajituma and his just her favorite tu.

Hata hivyo mwanadada huyu hana uhakika kuwa producer huyu wa Mkasi show ya EATV, anajua kwamba ana mkubali sana kimuziki. 

0 comments:

Post a Comment