Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, May 16, 2014

"Mzungu Kichaa" afyetua EP yake leo.


 Mwanamuziki maarufu, aliyezaliwa Denmark na kukulia hapa Tz, Mzungu kichaa, leo ameachia EP (Extended Play) yake mpya, ikiwa ni moja kati ya harakati zake anazozifanya katika kulisongesha vyema gurudumu la muziki wa Kitanzania, hususani Bongofleva, akiwa sound engineer pia.

EP hiyo atai-lauch rasmi tarehe 6/6/2014 pale Ostrebay katika ukumbi wa Triniti.

Kwa wale wenzangu na mie EP- Extended Play ni rekodi ya muziki inayo jumuisha nyimbo nyingi kuanzia tano, japo si albamu nzima.

0 comments:

Post a Comment