Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, October 17, 2012

Shaabash! ufirahuniii gani huuu???

Jamani hebu tuulizane, je huu ndiyo usanii na umaarufu wa wasanii wetu wakibongo tunao wategemea? au ni sifa kuonyesha nguo zetu za ndani? na swala la mwisho je Kanumba alivyokuwa hataki kushiriki katika matukio kama haya, alikuwa anaringa ama alikuwa anaepuka kuyaona haya ama kushiriki uchafu kama huu? tafadhali comments chochote ili nijue unamawazo gani juu ya hili

0 comments:

Post a Comment