Waweza jiuliza huyu ni pacha wa tatu wa P square ama ni nani? ila wacha nikujuze, huyu anaitwa Eddor ni mmoja wa watangazaji makini na wakali kabisa katika kituo cha habari chenye masafa ya 106.5 yaani Mlimani radio, kama vipi fuatilia kipindi chake kila siku j3 hadi Ij saa 8 hadi 10 jioni......kama vipi mapema sanaaaaaaaaaaaaa!!!
0 comments:
Post a Comment