Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, November 28, 2012

Aaaaaah Caesar Daniel, kunywa pombe kwenye gari siyo poa bwana.



Moja kati ya watangazaji wanaokuja kwa kasi katika tasnia ya habari ni pamoja na huyu ambaye pia ni mshereheshaji katika lile shindano pendwa la EpiC Bongo Star Search. Jambo ambalo limenifanya nimuweke hapa ni kwamba jana katika mida ya mchana nilimuona mitaa ya Ubungo mataa akiwa ndani ya gari lake la bluu na akiwa amevalia body tyt kali ya cream, na nikavutiwa sana kumuona mjanja huyu ambaye pia ni rafiki yangu kuleeee kwenye mambo yetu ya FacebooK. Lakini wakati naendelea kumwangalia broda huyu ghafula aliinua chupa ya Heinken na kuanza kunywa jambo ambalo kwa upande wangu sikulipenda kwa maana naamini sheria hairuhusu kama vile inavyokataza kuongea na simu barabarani.
So brodaz n siztaz zingatieni sheria bwana mkiwa kama vioo vya jamii pia na watu wengi wakiwa wanawatazama nyie kama roll moderz wao.

0 comments:

Post a Comment