Mama mzazi wa Sharo Millionea
Watu nao hawakuacha kumsindikiza japo kwa macho mkali huyu.
Hapo ndipo ulipobebwa mwili wake.
Wasanii wenzake wa Bongo Fleva.
Mzee Majuto na Mzee Chillo.
Tunda Man.
Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.
0 comments:
Post a Comment