Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Sunday, December 30, 2012

DENIS NA HAIKA WALIVYOAMUA KUFUNGA MWAKA KWA NDOA TAKATIFU

Maharusi Denis Mgeni na Mkewe Haika Masue wakiwa wamebeba Sakramenti ya Ndoa wakielekea Madhabahuni mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Augustino iliyopo Mzumbe Mkoani Morogoro. Harusi hiyo ya aina yake ilifungwa  Desemba 29/12/2012 Kanisani hapo na baade kufuatiwa na tafrija ya kipekee katika Ukumbi wa Maofisa wa Jeshi Magadu mkoani hapa

0 comments:

Post a Comment