Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 17, 2012

Mamaa Kingstoneeeeeeeee!




Pipi ambaye alijifungua miezi 3 iliyopita amesema kuwa tayari ameshaanza mishemishe za muziki kama kawaida, na mashabiki wake wasijali Mungu akipenda mwakani mwanzoni kabsaa watasikia ngoma yake mpya.Ngoma ya mwisho Pipi aliyoitoa ilikuwa ni 'Unapokua Mbali'.Haya MaMa Kingstone tunasikilizia hizo mambo mpya.

0 comments:

Post a Comment