Taasisi ya Under The Same Sun, inayojihusisha na watu wenye ulemavu wa ngozi ( albino ) imemtunuku rappa Fid Q tuzo ya CERTIFICATE OF APPRECIATION,ikiwa ni kuonesha kuikubali kazi yake na mchango wake katika kampeni za shirika hilo.
Decoration & Catering Services

Boutique

0 comments:
Post a Comment