Mdogo wa Chameleon, Weasel wa kundi la Good Lyfe ameinuka na kumponda kaka yake kwa ukatili aliyo uita wa kipagani. Hii ni baada ya kifo kimoja kilichotokea nyumbani kwa Chameleon ambapo marehemu alijichoma moto na ndugu zake wameonyesha kumshuku gwiji huyo wa muziki nchini Uganda.
0 comments:
Post a Comment