Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, February 15, 2013

Daydah Rasheed atamba kumteka kimapenzi Diamond Platinumz siku atakapoingia mikononi mwake.



Baada ya kutamba sana visiwani Zanzibar kwa vibao vyake vikali alivyo viachia kupitia studio ya Jupiter records, hivi karibuni mwanadada huyu ameinuka na kujitamba kuwa anauwezo wa kumteka Diamond kihisia kama walivyo fanikiwa Wema Sepetu na Kidoti. Aidha hakuna habari yoyote kutoka kwa Diamond juu ya hili, ili hali bado mwanadada huyu mwenye nyimbo ya Naogopa kutendwa, akitamani sana kuwa na mahusiano na Raisi wa wasafi.

0 comments:

Post a Comment