Linex akiwa na shemeji yetu "Suvi" kushoto
"kama kuna mvuvi atatupa nyavu kumvua huyu shemeji yenu wa sasa hivi basi ntakua nna tatizo, kwasababu maisha yangu mengi, nafkiri labda kwa sababu ya the way i was living, sababu unajua mi ntaokea mtaani sasa labda the way nilivyokuwa naishi ilikua inafikia point watoto wa kike wanachoka maisha yangu ya mtaani na nini, so wanaamua kunichoka na wanaamua kuniacha na kuanza na maisha mengine, so hakuna jambo jipya kwenye swala la kupenda k wangu mimi yaani ...mi sina kinyongo na mvuvi ambae atatupa nyavu baharini atafanikisha kumvua samaki ambae mi nilikua napenda kumuona aendelee kuwa baharini akifanya maswala yeke".
0 comments:
Post a Comment