Nje ya mitindo mbalimbali ya nguo zinazotengenezwa na Mwanamitindo wa hapa nchini Bebi Mtandu, anayetengeneza nguo za kiume na za kike zenye ubora wa hali ya juu pamoja na ubunifu wa kipekee, hivi karibuni mwadada huyu ameniweka wazi kuwa anatarajia kufungua kampuni yake miezi michache ijayo. Kwasasa mwanadada huyu amesema kuwa anamalizia kununua baadhi ya vifaa vitakavyotumika katika kampuni yake pamoja na kukamilisha uajiri wa wafanyakazi.So, mimi na wewe hebu tuusubirie huo ujio wake!
0 comments:
Post a Comment