Baada ya kuuguwa sana raisi huyu wa Kusini mwa Afrika (Soutrh Africa), Nelson Mandela, hatimaye kesho anatarajiwa kutimiza umri wa miaka tisini na mitano tangu kuzaliwa kwake. Raisi huyu wa kwanza wa nchi hiyo aliyepigania uhuru wa taifa lake na hata kufungwa miaka 27 jela, anasumbuliwa na mapafu ambapo madaktari wake wanasema kuwa viungo hivyo vimeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
0 comments:
Post a Comment