Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Thursday, August 1, 2013

Mwanajeshi wa Kimarekani wa kikosi cha Navy Sael, aliyebadili jinsia.

 Chric kipindi akilitumia jeshi na picha ya kulia akiwa tayari amebadili jinsia  na kujiita Christine.
 New Christine
 Chric/Christine

Katika hali isiyo ya kawaida mwanajeshi wa jeshi la Navy Seal, wale wenye historia ya kushiriki kumuua Osama Bin Laden, bwana Chric hivi sasa amejibadili jinsia pamoja na jina na kujiita Christine jambo ambalo limewashangaza wengi. Mpaka sasa serikali ya Marekani haijatoa tamko lolote juu yake.

0 comments:

Post a Comment