Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, August 6, 2013

Twende Uganda bwana, tukasome.


WAKALA WA SHULE UGANDA NA KENYA.
-Kuwa wa kwanza kusoma nje ya nchi kwa gharama nafuu.
-Shule ni kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita.
-Shule zipo katika mazingira bora na zinafaulisha vizuri
-Zinaendeshwa kwa mazingira ya kidini
-Wakala anakusaidia mzazi kupata passport na visa ya mwanao     
  Na kufuatilia maendeleo ya mwanao wakati wote wa masomo

O-LEVEL
Nafasi zipo kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne.

A-LEVEL
Nafasi zipo michepuo yote Biashara, Sayansi,
Kilimo n.k
Kwa Dar es Salaam tupo.
92 - HOTEL LEGHO karibu na Sunciro.

Kwa mawasiliano:
·        UGANDA WAKALA
GEORGE J. NDENGA
P.O.Box 228 Fortportal - UGANDA
Phon: +256 750 753 008
Email: georgendenga@hotmail.com
·        DAR ES SALAAM – TANZANIA
RASHID MAWALLA
P.O.Box 55038
Dar es Salaam
Phon: + 255 654 222 223
          + 255 755 633 805
Email:rashid.mawalla@gmail.com
·        MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI NOVEMBER 30

­

0 comments:

Post a Comment