Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, November 29, 2013

Breaking News: UVCCM waandaa tamasha la kupima virusi vya Ukimwi.

Mgonjwa wa Ukimwi

 Mgonjwa wa Ukimwi akiwa na mama yake

Vijana wa CCM

CCM

Katika harakati za kuzidi kumsaidia mwananchi kujitambua afya yake, UVCCM imeandaa tamasha la kupima virusi vya Ukimwi pamoja na magonjwa mengine kama sukari n.k.

Silaha nae ni moja kati ya wageni waliyoalikwa kwenye tukio hilo litakalofanyika kesho pale kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni.


0 comments:

Post a Comment