Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, November 29, 2013

Girlfriend wa Chris Brown achora tattoo ya Zipu mguuni

Girlfriend wa mwimbaji mwenye kipaji Chris Brown Amechotora tattoo katika moja ya mguu wake! picha zake zilizopatikana hivi karibuni zimeonyesha mchoro wa zipu unaoanzia chini katika Ankle mpaka katika paja lake!! nimeona tattoo hii ipo tofauti na za wasichana wengi ambao huchora mgongoni, katika matiti yao au wengine hata usoni au katika meneo nyeti!! Karrueche Tran umetisha

 
 Tattoo yenyewe

Chriss Brown

Lakini kwa habari nyepesi nyepesi ni kwamba baada ya mkali huyu kuadhibiwa kifungo baada ya kupigana, mpenzi wake huyu ndani ya masaaa mawili yaliyopita alienda kupata dinner nae, huko alipofungwa.

0 comments:

Post a Comment