Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, November 20, 2013

KAMA ULIKUWA HUJUI: Huku ndipo alipotoka John Kitime na alipo sasa.





Mafanikio ya mtu huweza kuonekana hata kwa muonekano, ambao huweza kukujulisha fika ni nini kinachoendelea kwa mtu fulani.

Sasa hebu jaji picha hizi za msanii maarufu sana wa muziki hapa nchini John Kitime, halafu ujipatie jibu mwenyewe kuwa msanii huyu ameinuliwa au amesaidika na sanaa yake ya muziki ama la!, ukilinganisha na jinsi unavyomuona sasa na kipindi cha nyuma.

0 comments:

Post a Comment