Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Wednesday, November 27, 2013

Maujanja wa Clouds apata ajali.

Sophia Kessy akiwa na Maujanja (kulia juu)

Mtangazaji wa Clouds tv na radio Ngoto alimaarufu kama Maujanja, jana usiku wa saa tano alipata ajali mbaya ya gari iliyohusisha gari nne ikiwemo ya kwake (Alteza), katika maeneo ya Temeke.

Mpaka jioni ya leo marafiki wa karibu wa Mtangazaji huyu, walifanikiwa kumpata kwenye simu baada ya kutokomea pasipo julikana, kuinusuru roho yake huku akisema kuwa hali yake si mbaya sana.


0 comments:

Post a Comment