Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Thursday, November 14, 2013

Paul Clement kuzidi kung'aa kwenye game.

Msanii wa muziki wa Injili hapa nchini, Pul Clement, anazidi kufanya vyema katika muziki wa Injili huku akizidi kujizolea mashabiki katika kila pande ya jiji.

Hayo yamedhihirika wazi jumapili iliyopita katika ukumbi wa CCC Upanga ambapo Paul pamoja na kundi analolitumikia la Glorius Worship team, walikuwa wakifanya tamasha.

0 comments:

Post a Comment