Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, December 6, 2013

Breaking News: Jacob Zuma anaongea na waandishi wa habari juu ya kifo cha Madiba

Rais Jacob Zuma

Katika hali ya kuzidi kuomboleza na kuzidi kuihabarisha dunia juu ya kile kinachoendelea huko Kusini mwa Afrika, kulipotokea kifo cha Nelson Mandela, Rais wa sasa wa taifa hilo anauhutubia umma sasa LIVE, kwenye mazungumzo yake na waandishi wa habari.

0 comments:

Post a Comment