Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, December 6, 2013

Madam Rita Paulsen wa Epic Bongo star search, amlilia Madiba pia

Hivi ndivyo alivyo andika kwenye ukurasa wake wa FB
Moja ya heshima kubwa ya maisha yangu ni kukutana na kuweza kushikana mkono na Nelson Mandela. Siku hiyo ilikuwa ni ya furaha mno kwangu kwani nilijihisi ni mtu wa bahati sana. Nilitamani nisioshe mkono wangu kwa jinsi nilivyofurahi. Nelson Mandela kwangu ni kama mfano wa mtume kwani kuwa katika uwepo wake ulikuwa kama kukaa na neema na utukufu kwa wakati mmoja. Sijui kama tutakujapata kiongozi mwingine kama yeye maishani.

Rest in Peace Nelson Mandela.
Like · · · 231631 · 45 minutes ago ·

0 comments:

Post a Comment