Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 16, 2013

BURUDANI: Aba atikisa UCA TZ.












 Katika mwisho wa juma hili, Aba aliitikisa vyema stage ya UCA Tz iliyojikitwa paleeee Biafra na kama kawaida yake alifanya vyema sana na kuwabagawisha watu kisawasawa. 

Msanii huyu pia ameachia kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la 'Mbali nawe" alichokirekodi pale C9.

0 comments:

Post a Comment