Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, December 17, 2013

Mr Nice afutwa machozi ya kuanguka kitasnia kwa kushirikishwa kwenye filamu huko Dermank.




Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa

Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo. Tazama picha hapa.

0 comments:

Post a Comment