Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 30, 2013

BURUDANI: Agness Masogange kufwata nyayo za Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.


Habari zilizotufikia hivi punde, ni kuwa mwandada Agness Masogange ataanza kuonekana kwenye filamu za Kitanzania sawa na wakinadada wengine wengi walivyoingia katika tasnia hiyo, wakitokea kwenye tasnia nyingine kama muziki na Urembo.

Habari hizo zilizowafurahisha wengi waliyo mashabiki wake, zimetolewa leo na mtandao wa BONGO MOVIE, wenye kuripoti habari zote za tasnia ya filamu hapa nchini.

Masogange ni mmoja kati ya wasanii wa hapa nchini waliyowahi kukumbwa na sakata la madawa ya kulevya, ambapo yeye alikamatwa na biashara hiyo haramu Kusini mwa Afrika.

0 comments:

Post a Comment