Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Sunday, December 29, 2013

BURUDANI: Glorius Celebration yazidi kuitikisa Mbeya.




Hizi ni baadi ya picha za tukio hilo (samahani kwa kutokuwa na ubora unaotakiwa).

Kundi la Glorius Celebration lililo chini ya uongozi wa  Lyanga George, limezidi kufanya vyema jijini Mbeya katika ziara yake kwenye msimu huu wa Krismasi na mwaka mpya.

Akiongea na blog hii kwa njia ya mtandao, mmoja wa waimbaji wa kundi hili amesema kuwa, hakika wanachakumshukuru Mungu kwani kazi waifanyayo huko ni kubwa mno na jiji la Mbeya limewapenda sana na kuwa kubali.

Glorius Celebration ndilo kundi la kwanza nchini lililoweza kuvuma sana kwa kibao chake cha Niguse, kabla ya kugawanyika na kuwa Glorius Worship Team (GWT) pamoja na hili kundi mama la Glorius Celebration.

0 comments:

Post a Comment