Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 30, 2013

BURUDANI: Jessica atoa shukrani kwenye akaunti yake ya Facebook.


Jessica jukwaani.

Jessica katika pozi baada ya tamasha hilo.

Mwanadada  Jessica Honore anayevuma katika muziki wa Injili hapa nchini, leo ameinuka na kutoa shukrani zake za dhati kwa watu wote waliyoweza kufika katika mkesha wa mwaka mpya ulioandaliwa pale katika kanisa la World Alive jana.

Shukrani zake hizo amezipeperusha katika akaunti yake ya Facebook na kusema hivi;
Asateni wooote mlio kuja funga mwaka nasi pale Word Alive Centre....kufanikiwa kwetu kulitokana na uwepo wenu ....MMEBARIKIWA

0 comments:

Post a Comment