Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 30, 2013

BURUDANI: Rich Mavoko azindua video yake ya Roho yangu.






Msanii Rich Mavoko usiku wa kumkia leo alizindua rasmi video yake ya  wimbo wa 'Roho Yangu', katika ukumbi wa Maisha Club iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika uzinduzi huo Rich Mavoko alisindikizwa na wasanii mbalimbali  wakiwemo Jux Vuitton,Barnaba,Dully Sykes,Shetta,Mr Blue na wengineo.

Mavoko ni kati ya wanamuziki chipukizi waliyotamba sana mwaka huu na mwaka jana, huku yeye akijitambulisha vyema na vibao kama Will you merry me pamoja na Follow me.

0 comments:

Post a Comment