Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Thursday, December 5, 2013

SIASA: Dkt. Slaa kuihutubia Kahama leo.



Dkt. akihutubia katika moja ya mikutano wa chama hapa nchini.

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, leo kimepeperusha ujumbe kwenye blog yake kuwa leo Dkt. Slaa atakuwa na mkutano Kahama, ikiwa ni katika harakati za kuzidi kujitangaza na kuzidi kuendelea na harakati za kumkomboa Mtanzania.

0 comments:

Post a Comment