Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, January 24, 2014

BURUDANI: Baba wa Mary J mahututi.

Mary J

Inaripotiwa kuwa baba wa mwanamuziki maarufu kutoka majuu, Mary J yu maututi, baada ya kuchomwa na kisu shingoni.

Mpaka sasa chanzo cha tukio hilo hakijajulikana vyema, huku msanii huyo kuonekana kuchanganyikiwa sana na tukio sawa na wanavyoeleza marafiki wa karibu wa mwanadada huyu.

0 comments:

Post a Comment