Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, January 24, 2014

BURUDANI: Justin Bieber kizimbani.


Justin Bieber

Mwanamuziki wa mtindo wa POP mwenye asili ya Kijerumani, Justin Bieber, jana amepandishwa kizimbani nchini Marekani anapoishi, kwa kosa la kuendesha gari huku akiwa amelewa.

Kesi hiyo si ya kwanza kwa mwanamuziki huyu, kwani amekwishawahi fikishwa mahakamani mwaka jana kwa makosa kadhaa, likiwemo la kuwatemea mate kutoka ghorofani, watu waliyo ripotiwa kuwa mashabiki wake.

Kwa kosa hilo, huwenda Bieber atafungwa ama kutozwa faini kubwa kama walivyowahi fanyiwa wanamuziki wengine maarufu nchini humo.

0 comments:

Post a Comment